-->

Europa League: Manchester United walaza Zorya Luhansk

Manchester United wameondoka kwenye mkia kundi lao la ligi ndogo ya Ulaya, Europa League, baada ya kupata ushindi dhidi ya Zorya Luhansk. ...

Liverpool yawashinda Swansea mabao 2-1

Penalti ya dakika za misho ya James Milner iliwapa Liverpool ushindi dhdi wa Sansea na kumuongezea na kumuongezea matatizo kocha wa Swansea...

FIFA:Uamuzi wetu wa kupambana na ubaguzi wa rangi ni sahihi kabisa

FIFA ametetea uamuzi wake wa jitihada za kupambana na ubaguzi wa rangi ,na ukosoaji unaotaka wa kukwamisha jitihada hizo ni wakutia aibu. ...

Stones azumgumzia ubora wa celctic beki kinda wa manchester city

john stones ameiambia timu yake wanatakikwa kuheshimu ubora wa celtic kuelekea mchezo wao wa ligi ya mabingwa ulaya vijana wa pep ...

Tyson huenda asipigane tena

Bingwa wa uzani mzito duniani Tyson Fury huenda asipigane tena ,kulingana na afisa wa mauzo katika ndondi ya kulipwa nchini Uingereza. Fur...

Mchezaji wa Ivory Coast afungwa miezi 2 jela Ufaransa

Mcheza kandanda raia wa Ivory Coast Serge Aurier, ambaye anaichezea klabu ya Paris St-Germain (PSG), amehukumiwa kifungo cha miezi miwili j...

Schalke 04 bado yaendelea kupata matokeo mabaya

Schalke 04 imeshindwa kwa mara ya nne kupata ushindi katika Bundesliga msimu huu baada ya kupoteza mchezo wake jana jumapi...

Kamari za mpira, unyonyaji mpya uangamizao vijana

SERA ya Ujamaa na Kujitegemea iliyoasisiwa na hayati Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1967 ililenga kuthamini utu, kuleta umoja na mshikamano T...

Wabunge Yanga wairarua simba

WABUNGE wapenzi wa Yanga jana walitoka vifua mbele baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya wenzao wa Simba katika mchezo uliofanyi...

MANCHESTER UNITED YATAMBA MBELE YA LEICESTER CITY

Man United yaiadhibu Leicester City 24 Septemba 2016   Klabu ya Manchester United imewacharaza mabingwa watetezi wa...

MOURINHO: SIKU MOJA NITAMPASUA USO ARSENE WENGER

Jose Mourinho ameripotiwa kutishia kuharibu uso wa Arsene Wenger kufuatia vita ya maneno kati ya wawili hao mwaka 2014. Uhusiano mbaya ...

News Serengeti Boys yatimkia Rwanda

Leo September 22, kikosi cha timu ya taifa ya vijana U17 maarufu kama Serengeti Boys kimesafiri asubuhi kuelekea Rwanda kwa ajili ya kuw...

News Seluk azidi kumuandama Guardiola, sasa amemwambia muoga

Vita ya maneno kati ya wakala wa Yaya Toure Dimitri Seluk na kocha wa Manchester City Pep Guardiola imezidi kushika kasi baada ya Selu...

News Majimaji FC kuituliza Simba SC, Azam FC katika mtihani mwingine VPL, Yanga kuendeleza rekodi Shinyanga …

Na Baraka Mbolembole MECHI Tano za ligi kuu Tanzania Bara zinataraji kuchezwa Jumamosi hii na nyingine tatu zitapigwa siku ya Jumapi...

News Neema kuanza kumiminika Kilimanjaro Queens

Ubingwa Kombe la CECAFA Chalenji kwa timu za mpira wa miguu za wanawake katika nchi za Afrika Mashariki, umewavutia wadau wengi kwa ki...