-->

Liverpool yawashinda Swansea mabao 2-1

Penalti ya dakika za misho ya James Milner iliwapa Liverpool ushindi dhdi wa Sansea na kumuongezea na kumuongezea matatizo kocha wa Swansea Francesco Guidolin. Swansea ilipata bao la kwanza kupitia kwa Leroy Fer. Hata hivyo Roberto Firmino alisawazisha muda mfupi baada ya kuanza kwa kipindi cha pili kutokana na pasi aliyopata kutoka kwa Jordan Henderson. Milner aliifungua Liverpool bao la ushindi dakika sita kabla ya mechi kumalizika kwa njia ya penalti baada ya Firmino kufanyiwa madhambi. Bao hilo lilikuwa ni zawadi kwa Liverpool ambao waliitawala mechi katika kipindi cha pili.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments