-->

Stones azumgumzia ubora wa celctic beki kinda wa manchester city

john stones ameiambia timu yake wanatakikwa kuheshimu ubora wa celtic kuelekea mchezo wao wa ligi ya mabingwa ulaya vijana wa pep guardiola watasafiri kuelekea scotland kuvaana uso kwa uso na wenyeji celtic katika uwanja wa Glasgow jumatano ya juma hili kuelekea mchezo huo stones ameionya timu yake na kuiambia kwamba wanatakiwa kucheza kwa kiwango cha juu na kwa umakini mkubwa kwani kocha wa celtic Brendan Rodgrer ana uzoefu mkubwa na ligi ya uingereza na alikuwa uingereza alikuwa ni miongoni mwa makocha aliyekuwa akiwapa wakati mgumu sana manchester city kila walipokutana "unatakiwa kumuheshimu mpinzani wako na wao ni bora na ndo mana wanashiriki ligi ya mabingwa " alisema stones akizungumza na mtandao wa habari ya michezo ESPN City Wanataka Kuendeleza Rekodi yao ya kucheza michezo 10 bila kufungu na ingawa itamkosa nyota wao Kevin Debruyne ambaye atakaa nje kwa majuma manne lakini manchester city imepania kushinda mchezo huo
imeandaliwa na Yusuph Manji wa moro

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments