-->

Muigizaji wa Nigeria aomba radhi kwa kukumbatiwa

Muigizaji mashuhuri, aliyepigwa marufuku katika sekta ya uigizaji ya Hausa kutokanana 'utovu wa nidhamu' ameomba radhi. Kuonekana k...

Rose: Shearer alikuwa sahihi kusema Uingereza inatapatapa

Mlinzi wa kushoto wa timu ya taifa ya Uingereza Danny Rose amesema Alan Shearer alikuwa sahihi kuita timu hiyo ya taifa kuwa inatapatapa baa...

ITF yatoa onyo kwa wachezaji baada ya kupunguza adhabu ya Sharapova

Chama cha Tennis duniani ITF kimempunguzia mchezaji nyota wa tennis Maria Sharapova adhabu ya kufungo cha miaka miwili na sasa itakuwa miezi...

Bingwa wa ndondi katika uzani mzito duniani ajiuzulu

Bingwa wa ndodi katika uzani mzito duniani Tyson Fury anasema kuwa amejiuzulu kutoka kwa ndondi katika ujumbe uliochapishwa katika mtandao w...

Fifa kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la dunia kufikia 48

Rais wa Fifa Gianni Infantino ameshauri kuongezwa wa timu zinazoshiriki kombe la dunia na kufikia 48 zaidi ya ahadi yake aliyoitoa wakati ak...

Roberto Di Matteo afutwa kazi Aston Villa

Meneja wa klabu ya Aston Villa ya Uingereza Roberto di Matteo amefutwa kazi siku 124 baada ya kukabidhiwa mikoba katika klabu hiyo inayochez...

Man United yashindwa kutamba dhidi ya Stoke city

Klabu ya Stoke City ilijipatia pointi moja katika uwanja wa Old Trafford baada ya Joe Allen kusawazisha na hivyobasi kuiadhibu Manchester Un...

Mourinho asema: Tulistahili kushinda kwa zaidi ya mabao 7

Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa wangefaa kushinda na zaidi ya mabao 7-0 dhidi ya Stoke. Mourinho ambaye anmeonekan...