-->

Mourinho asema: Tulistahili kushinda kwa zaidi ya mabao 7

Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa wangefaa kushinda na zaidi ya mabao 7-0 dhidi ya Stoke. Mourinho ambaye anmeonekana kutoamini matokeo ya 1-1 baada ya kutawala mechi yote, anasema kuwa mchezo wa timu yake uliimarika zaidi ya mechi zote walizocheza msimu huu. ''Mchezo wetu ulikuwa wa kiwango cha hali ya juu sana.tulibuni fursa nyingi za wazi kabla ya kipindi cha kwanza na hata baada ya kipindi cha kwanza.tulifaa kuwa juu kwa zaidi ya mabo saba ama hata nane'', alisema baada ya mechi hiyo Anasema kwamba licha ya fursa za magoli kuwa wazi bahati haikuwa yao.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments