-->

Ibrahimovic: Rooney anastahili heshima

Mshambuliaji wa Manchester united Zlatan Ibrahimovic, amesema Wayne Rooney''ni mchezaji bora'' na anastahili heshima zaidi...

Simba vs Yanga: Simba yataka refa kutoka nje

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limeitaka klabu ya Simba kufuata kanuni na taratibu za shirikisho, Kauli hiyo ya TFF inafuatia ile kaul...

Fifa: Argentina ndio bora duniani, Senegal yaongoza Afrika

Shirikisho la kandanda ulimwenguni (FIFA) limetoa orodha ya viwango bora vya soka ,ambapo mpaka sasa kwa upande wa bara la Ulaya Argentina...

Manchester united yatamba mbele ya feyenoord

Klabu ya Manchester united maarufu kama mashetani wekundu hapo jana wameibuka kifua mbele kwa kuichabanga klabu ya feyenoord kwa magoli 4 ...

Borussia Dortmund na Legia Warsaw wavunja rekodi

Klabu za Borussia Dortmund na Legia Warsaw zilivunja rekodi ya kufunga mabao mengi zaidi mechi ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumanne, kwa ...

UEFA: Leicester City wang'ara mbele ya Club Brugge

Leicester city wamepata ushindi maridhawa wakati wa muendelezo wa ligi ya mabigwa barani Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya...

Uefa: Man City yatinga hatua ya mtoano kwa mara ya nne mfululizo

Mchezaji kiungo David silva ameithibitishia klabu ya Manchester City kuingia hatua ya mtoano kwa mara nne mfululizo kwa kutoka sare ya gol...

Arsenal nyuma ya PSG hatua ya makundi

Arsenal wanakabiliwa na kibarua kumaliza wakiwa wanaongoza kwenye kundi lao mechi za Kombe la Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare na P...