-->

Manchester City atawanywa na Tottenham

Klabu ya Whitehart Lane nchini Uingereza Tottenham Hotspurs iliisitisha rekodi ya Manchester City ya kutofungwa. Goli la kujifunga wenyewe ...

Arsenal yatamba mbele ya Burnley

Burnley ilishindwa kulinda lango lake katika dakika za mwisho za mechi dhidi ya Arsenal na kuwawacha wageni hao wa Emirates kupata ushindi w...

Samwel Eto'o arejeshwa katika kikosi cha timu ya Antalyaspor

Klabu ya soka ya Antalyaspor ya Uturuki imemjumuisha kikosini mshambuliaji wake Samuel Eto'o katika mchezo unafouata dhidi ya Galatasara...

Rigobert Song alazwa hospitalini Cameroon

Nyota wa zamani wa Liverpool na West Ham Rigobert Song amekimbizwa hospitalini akiwa katika hali mahututi baada ya kuugua kiharusi. Song, 4...

Simba walivyobadili matokeo dhidi ya Yanga dakika 4 kabla ya mechi kuisha

Huu ni mchezo ambao mashabiki wa Yanga walikuwa na matumaini ya kuwa wataendeleza ubabe wao wa kuifunga Simba kwa mechi zote mbili kama wali...

Europa League: Manchester United walaza Zorya Luhansk

Manchester United wameondoka kwenye mkia kundi lao la ligi ndogo ya Ulaya, Europa League, baada ya kupata ushindi dhidi ya Zorya Luhansk. ...

Liverpool yawashinda Swansea mabao 2-1

Penalti ya dakika za misho ya James Milner iliwapa Liverpool ushindi dhdi wa Sansea na kumuongezea na kumuongezea matatizo kocha wa Swansea...

FIFA:Uamuzi wetu wa kupambana na ubaguzi wa rangi ni sahihi kabisa

FIFA ametetea uamuzi wake wa jitihada za kupambana na ubaguzi wa rangi ,na ukosoaji unaotaka wa kukwamisha jitihada hizo ni wakutia aibu. ...