-->

Raia wa Malawi wataka rais wao arudi nyumbani

erikali ya Malawi imekanusha ripoti kuwa Rais wa nchi hiyo Peter Mutharika yuko mgonjwa sana nchini Marekani. Raia wa Malawi kwenye mitand...

Kundi la IS lapoteza robo ya maeneo inayodhibti

Utafiti uliofanywa na kundi moja la wachanganuzi kuhusu ulinzi unasema kuwa kundi la wapiganaji la Islamic State limepoteza zaidi ya robo y...

Yemen: Marekani yaionya Saudia kuhusu shambulio

Marekani imeionya Saudi Arabia dhidi ya shambulio la angani lililolenga sherehe moja ya mazishi nchini Yemen na kuwaua zaidi ya watu 140 na...

Wasichana wa Tanzania kujadiliana na Bi Obama Jumanne

Wasichana 25 wa Tanzania wanatarajiwa kufanya majadiliano ya moja kwa moja na mke wa Rais wa Marekani, Bi Michelle Obama wiki ijayo. Wasic...

Viongozi wakuu wa chama cha Republican wanazidi kuondoa uungaji wao mkono kwa Donald Trump kwa matamshi yake ya kuwadhalilisha wanawake.

Miongoni mwa wanasiasa wa hivi punde zaidi ni pamoja na aliyekuwa waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani Condoleezza Rice, na ali...

Majaji wafisadi wakamatwa Nigeria, fedha zakamatwa

Wapelelezi nchini Nigeria wamekamata mamia kwa maelfu ya dola fedha taslimu na mali nyingine katika msururu ya upekuzi kupambana na ufisadi...

Polisi yamsaka mshukiwa wa ugaidi Ujerumani

Polisi katika mji wa mashariki wa Chemnitz nchini Ujerumani wanamsaka kijana wa Kisyria mwenye umri wa miaka 22 ambae anatuhumiwa kupanga n...

Desmond Tutu aomba kusaidiwa kufa atakapougua

Askofu mkuu wa Afrika Kusini Desmond Tutu amesema katika ujumbe wake wa siku yake ya kuzaliwa katika gazeti la Washington Post kwamba angepe...

Shutuma zamuandama Chris Brown punde baada ya kutua Kenya

Muimbaji mashuhuri wa Marekani mtindo wa Hip Hop Chris Brown, yupo Kenya kwa tamasha la muziki mjini Mombasa eneo la pwani. Lakini tukio am...

Ghasia zazuka katika mazishi Kashmir

Kumekuwa na ghasia Srinagar - mji mkubwa katika eneo la kasmir linalotawaliwa na India - baada ya wanajeshi kufyetua gesi ya kutoa machozi ...

Watu 800 wafariki Haiti baada ya kimbunga Matthew

Umoja wa mataifa umeonya kuwa huenda ikachukua siku kadhaa kwa athari kamili ya kimbunga Matthew kujulikana nchini Haiti wakati idadi ya wa...

Kijana aliyemea mkia afanyiwa upasuaji India

Kijana mwenye mkia wa sentimita 20 unaomea chini ya uti wa mgongo wake amefanyiwa upasuaji ili uondolewe Ulianza kutokea katika mgongo wa ...

Hofu Marekani kutokana na kimbunga Matthew

Gavana wa jimbo la Florida nchini Marekani, Rick Scott ameonya kuwa uharibifu utakaotokea utakuwa mkubwa sana ikiwa kimbunga Matthew kitapig...

Abiria wa Ndege walazimishwa kupima uzani

Shirika moja la ndege Marekani limelalamikiwa na wateja wake kwa kuwalazimisha kupima uzani kabla ya kuingia ndani ya ndege zao. Lalama hiz...

Guterres kuchukua nafasi ya Ban Ki Moon

Waziri Mkuu wa zamani wa Ureno Antonio Guterres anatarajiwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa baada ya kupata hakikisho kutoka kwa w...