-->

Raia wa Malawi wataka rais wao arudi nyumbani

erikali ya Malawi imekanusha ripoti kuwa Rais wa nchi hiyo Peter Mutharika yuko mgonjwa sana nchini Marekani. Raia wa Malawi kwenye mitandao ya kijamii wanatumia #BringBackMutharika, wakitaka Raia wao arudi nyumbani baada ya kuondoka nchini humo wiki mbili zilizopita kuhudhuria mkutano wa umoja wa mataifa mjini New York. Serikali ilisema kuwa bwana Mutharika yuko na afya nzuri na alikuwa akikamilisha shughuli za serikali ambazo hakuwa na muda wa kuzishughulikia akiwa kwenye Umoja wa Mataifa, Ukurasa wa serikali kwenye mtandao wa Facebook ulisema kuwa tarehe itatangwazwa ya kurudi kwa rais nchini Malawi.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments