-->

Uefa: Man City yatinga hatua ya mtoano kwa mara ya nne mfululizo

Mchezaji kiungo David silva ameithibitishia klabu ya Manchester City kuingia hatua ya mtoano kwa mara nne mfululizo kwa kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Borussia Monchengladbach. Mchezo huo uliokuwa wa vuta nikutute ulishuhudia kila timu ikimaliza na wachezaji 10 kiungo Lars Stindl akilimwa kadi nyekundu dakika ya 51 kabla ya Fernandinho wa man city kuzawadiwa kadi nyekundu dakika ya 63. Kocha wa timu ya Manchester City Pep Guardiola amesema amefurahishwa na kiwango cha timu yake na kuongeza kuwa kwa matokeo waliyoyayapata moja kwa moja wameepuka kupangiwa na Bayern Munich Matokeo ya michezo mingine Besiktas 3-3 Benfica FC Rostov 3-2 Bayern Mun Arsenal 2-2 Paris St G PFC Ludogorets Razgrad 0 -0 Basel Napoli 0 -0 Dynamo Kiev Borussia Mönchengladbach 1-1 Manchester City F.C. Celtic 0-2 Barcelona Atlético Madrid 2-0 PSV Eindhoven

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments