-->

UEFA: Leicester City wang'ara mbele ya Club Brugge

Leicester city wamepata ushindi maridhawa wakati wa muendelezo wa ligi ya mabigwa barani Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya club Brugge. Leicester wanahitaji alama moja tu kutinga hatua ya mtoano.
Mchezaji Shinji Okazaki alimaliza vyema kazi ya Christian Fuchs na kuandika goli la kwanza kwa kikosi hicho kinachonolewa na Muitaliano Claudio Ranieri. Riyad Mahrez akaongeza goli la pili kwa penati murua ikiwa ni goli lake la nne ndani ya ligi ya mabigwa baada ya Marc Albrighton kuangushwa ndani ya eneo la hatari. Leicester city hawashikiki katika ligi ya mabingwa Ulaya huku wakiwa wanaboronga EPL. Monaco 2-1 Tottenham Borussia Dortmund 8-4 Legia Warsaw Sporting 1- 2 Real Madrid CSKA Moscow 1- 1 Bayer 04 Leverkusen FC Copenhagen 0-0 FC Porto Dinamo Zagreb 0-1 Olympique Lyonnais Sevilla 1- 2 Juventus

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments