-->

Manchester united yatamba mbele ya feyenoord

Klabu ya Manchester united maarufu kama mashetani wekundu hapo jana wameibuka kifua mbele kwa kuichabanga klabu ya feyenoord kwa magoli 4 kwa 0.Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Old Traford huko nchini Uingereza ulitazamiwa kuwa ni mchezo mkali hasa kutokana na kutokuwa na mwanzo mzuri kwa kocha mwenye maneno mengi Jose Mourinho . Mwanzo mzuri wa Manchester united ulianza kuonekana mapema ambapo mshambuliaji hatari wayne rooney alimalizia assist safi toka kwa Zaltan Ibrahimovic hata hivyo Juan mata alifunga goli zuri kwa kuunganisha assist safi toka kwa Rooney na kuifanya Manchester united kujiongezea asilimia kubwa za kuishinda .Hata hivyo mpira mkali uliopigwa kutoka kwa Ibrahimovic ulimgonga beki na kuzigusa nyavu za timu pinzan ,mvua ya magoli haikuishia hapo mpaka pale Jese Lingard alipofunga bao la mwisho.
imeandaliwa na Jutcher 0718508551

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments