-->

UKAD lachunguza uendeshaji baiskeli Uingereza

Maafisa shirika la Uingereza la kupambana na matumizi ya dawa za kutitimua misuli, UKAD, wametembelea makao makuu ya uendeshaji baiskeli Ui...

Je,ni wakati wa Rooney kubwaga manyanga Uingereza?

Uingereza ilianza msimu mpya chini ya kaimu mkufunzi Gareth Southgate kwa kupata ushindi dhidi ya Malta. Swala muhimu baada ya mechi hiyo ...

Busu'' lamuepusha kupigwa marufuku michezo ya Olimpiki

Bingwa wa dunia katika mchezo wa kuruka kwa kutumia ufito {Pole Vaulter} Shawn Barber alikuwa na haki ya kushiriki katika michezo ya Olimpik...

Nicola Adams anatafakari kushiriki masumbwi kitaaluma

Mshindi mara mbili wa Olimpiki Nicola Adams anasema amefanya mazungmo kuhusu kupigana masumbwi kama taaluma. Adams amekuwa mpiganaji masum...

Kolo Toure: Wenger alinitoa mbali na kunijenga

Kipindi hiki meneja wa Arsenal Arsene Wenger anapoendelea kusherehekea kutimiza miaka 20 kwenye usukani, mmoja wa wachezaji wake Kolo Toure...

Tyson: Ninatumia Cocaine kukabiliana na ugonjwa wa Kiakili

Bingwa wa ndondi katika uzani mzito duniani Tyson Fury amesema amekuwa akitumia Cocaine ili kumsaidia kukubiliana na matatizo ya kiakili. B...

Joey Barton akabiliwa na adhabu kwa kucheza kamari

Kiungo wa klabu ya Rangers ya Scotland Joey Barton anakabiliwa na dhabu ya kucheza kamari tofauti na sheria za soka zinavyosema. Barton ana...

Timu mbalimbali kuwania tiketi ya kufuzu kombe la dunia

Leo timu za nchi mbalimbali zitaingia uwanjani kukipiga kusaka tiketi ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi. Miongoni mw...