-->

Joey Barton akabiliwa na adhabu kwa kucheza kamari

Kiungo wa klabu ya Rangers ya Scotland Joey Barton anakabiliwa na dhabu ya kucheza kamari tofauti na sheria za soka zinavyosema. Barton anatumuhiwa na chama cha soka nchini Scotland kwa kucheza kamari ama kubet mara 44 kati ya Julai 1 na Septemba 15 mwaka huu. Barton atarejea katika klabu hiyo baada ya kufungiwa kwa wiki tatu kutokana na utovu wa nidhamu. Chama cha soka nchini humo SFA kupitia sheria yake kifungu cha 33 inakataza wachezaji, makocha, maofisa wa klabu na waaamuzi nchini humo kucheza kamari popote pale duniani. Mwezi May,kiungo wa Partick Thistle Steven Lawless alifungiwa michezo 6 baada ya kuthibitika kuwa alicheza kamari ya michezo 513.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments