-->

Wananchi Colombia wapinga makubaliano ya amani yaliofanyika

Wapiga kura nchini Colombia wamepinga katika kura ya maoni makubaliano ya kihistoria yaliyofikiwa baina ya serikali ya nchi hiyo na kundi la waasi la FARC. Zaidi ya watu milioni kumi na tatu wamepiga kura, lakini wanaopinga makubaliano hayo wameshinda kwa kura zisizozidi elfu sitini. Rais Juan Manuel Santos ambae ametia saini makubaliano hayo wiki iliyopita katika sherehe zilizofana na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo kiongozi wa FARC, amesema hatojiuzulu. Ameongeza kusema, makubaliano hayo ya amani ambayo yatamaliza mgogoro wa miongo mitano bado yanafanya kazi na kwamba yeye atasimamia amani hadi siku yake ya mwisho ofisini. Kwa upande wake, kiongozi wa kundi la waasi FARC leader, Timochenko, amesikitishwa na matokeo hayo na kusisitiza kwamba yeye pia anataka aman

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments