WANAWAKE NA VIJANA NCHINI WAMETAKIWA KUJIUNGA NA VYAMA VYA SIASA ILI KUGOMBEA KWENYE NAFASI MBALIMBALI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MI...
Mtanzania afungua mgahawa huko Sweden
Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani, Issa Kapande `Chef Issa', umefunguliwa...
Sketi 'fupi' yamzuia kuingia darasani Uganda
Mwanafunzi mmoja nchini Uganda ,Joaninne Nanyange amechapisha ujumbe mrefu katika mtandao wake wa Facebook akilalamika vile alivyozuiwa ku...
Magufuli afutilia mbali bodi ya TRA nchini Tanzania
Rais wa Tanzania ametangaza kwamba ameamua kumfuta kazi mwenyekiti wa Mamlaka ya Mapato nchini humo (TRA) na kuvunja bodi nzima baada ya u...
Moto Israel: Washukiwa 12 wakamatwa
Maafisa wa polisi nchini Israel wamewakamata watu 12 kwa tuhuma za uchomaji wa makusudi kufuatia msururu wa moto ambao umekuwa ukilichoma ...
Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90
Fidel Castro, kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Kikomunisti, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90, kakake ametangaz...
Mawaziri walumbana uteuzi wa mgombea urais Ufaransa
Mawaziri wakuu wastaafu wawili nchini Ufaransa walilumbana katika mdaalo wa Televisheni baada ya uteuzi wa mgombea wa urais wa mrengwa wa ...
Watu 80 wafariki katika shambulizi la Bomu lililowalenga washiha Iraq
Vyombo vya usalama vya Iraq vimesema kwamba zaidi ya watu themanini wameuawa kwa shambulizi la bomu lililowalenga madhehebu ya kiislamu ya...
Wanajeshi wa Iraq wapambana na IS ndani ya Mosul
Wanajeshi wa Iraq wanapambana na kundi linalojiita Dola la Kiislamu - IS ndani kabisa ya mji wa Mosul, na kuwaongezea shinikizo wanamgambo...
Netanyahu: Moto mkubwa Israel umesababishwa makusudi
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa moto mkubwa ulioenea Magharibi mwa nchi hiyo huenda umesababishwa makusudi na yaweze...
Al-Qaeda yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao
Kundi la kigaidi la Al-Qaeda limethibitisha kuuawa kwa kiongozi wao mkubwa Farouq al-Qahtani huko kaskazini Mashariki mwa Afghanistan kati...
Nigeria: Vikosi vya usalama vyadaiwa kuwaua 150 wa Biafra
Vikosi vya usalama nchini Nigeria vimewaua zaidi ya watu 150 waliokuwa wakifanya maandamano ya amani tangu mwezi Agosti mwaka 2015,kulinga...
Watu 40 waliotekwa Nigeria waachiliwa
Gavana wa jimbo la Zamfara Kaskazini Magharibi mwa Nigeria Abdulaziz Yari ameiambia BBC kuwa raia 40 waliotekwa na watu wenye silaha wamea...
Mwinyi amsifu Magufuli kwa kazi na kasi yake
Rais Mstaafu Tanzania Dkt Ali Hassan Mwinyi amesema amefurahishwa na utenda kazi wa Rais John Magufuli katika kipindi cha mwaka mmoja amba...