WANAWAKE NA VIJANA NCHINI WAMETAKIWA KUJIUNGA NA VYAMA VYA SIASA ILI KUGOMBEA KWENYE NAFASI MBALIMBALI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ZA MWAKA 2019 NA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
HAYO YAMESEMWA NA MWANASHERIA WA CHAMA CHA WANAWAKE TANZANIA TAWLA BIBI FATUMAH KIMWAYA KATIKA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO VIJANA NA WANAWAKE KUELEKEA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA PAMOJA NA UCHAGUZI MKUU
BIBI KIMWAYA AMESEMA KUWA ILI VIJANA NA WANAWAKE WAPATE FURSA YA KUGOMBEA KATIKA CHAGUZI ZA KITAIFA NI LAZIMA WAJIUNGE NA VYAMA VYA SIASAWAPATE FURSA
KWA UPANDE WAKE DIWANI WA KATA YA BUSWERU BIBI SARAH PAUL AMESEMA KUWA CHANGAMOTO ZIPO KATIKA UONGOZI HIVYO NI VEMA ZIKATATULIWA…
NAO BAADHI YA WANANCHI WALIOHUDHURIA SEMINA HIYO WAMEISHUKURU TAWLA NA KUELEZA KUWA ELIMU WALIYOIPATA IMEWAJENGEA UELEWA