Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Somalia ameiambia BBC kwamba ofisi yake inaweka kumbukumbu za kesi za ufisadi katika uchaguzi unaoendelea kwa ku...
Viongozi Colombia watia saini makubaliano ya amani
Rais wa Colombia Juan Manuel Santos na kiongozi wa kundi la FARC Rodrigo Lodono maarufu kama Timochenko, wametia saini makubaliano ya aman...
Clinton aongoza kwa zaidi ya kura 2m dhidi ya Trump
Uongozi wa aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Democratic Hillary Clinton dhidi ya Donald Trump wa Republican katika kura za kawaida umeong...
Nduguye Obama kuwa mgeni wa Donald Trump kwenye mdahalo
Maafisa wa kampeni wa mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump wamepanga kumwalika kaka wa kambo wa Rais Barack Obama kuhudhuria m...
MAHAKAMA YARUHUSU CUF KUFUNGUA KESI DHIDI YA MSAJILI
Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imetoa kibali kwa Bodi ya Baraza la Wadhamini la Chama cha Wananchi (CUF) kufungua kesi dhidi ya Msaji...
Obama awataka wakuu wa Republican wajitenge na Trump
Rais wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa viongozi wakuu wa chama cha Republican kuondoa rasmi uungaji mkono wao kwa mgombea wa chama h...
Mjadala wa urais Marekani: Trump amshambulia Clinton
Wakati Donald Trump na Hillary Clinton walipokwea jukwaani St Louis kwa mjadala wa pili kati ya mitatu iliyopangwa, hakupeana salamu kwa mi...
Mtandao wa Wikileaks wafichua hotuba ya Clinton
Mtandao wa Wikileaks, umechapisha kile unachosema kuwa hotuba ya kibinafsi ya Bi Hillary Clinton, kwa wakuu na wanaharakati. Katika mojawa...
Trump aomba radhi kwa kuwatusi wanawake
Mgombea urais wa chama cha Republican Marekani, Donald Trump, ameomba msamaha kwa matamshi machafu aliyotoa kuhusu wanawake katika kanda ya...
Vijana wakwamisha Uchaguzi huko nchini DRC
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila ametupilia mbali shutuma kwamba amesogeza mbele tarehe ya uchaguzi ili aendelee kung...
Uchaguzi Marekani: Pence na Kaine walumbana kuhusu Trump
Mgombea urais mwenza wa chama cha Republican nchini Marekani Mike Pence na mwenzake wa Democratic Tim Kaine wamelumbana kuhusu taarifa za ko...
Uchaguzi wa Marekani 2016: Yote unayofaa kujua
Mnamo mwezi Januari 2017 ,taifa lenye nguvu zaidi duniani litakuwa na kiongozi mpya baada ya uchaguzi wenye ushindani mkali na gharama kubwa...
Trump ajigamba kuhusu ulipaji kodi nchini Marekani
Mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, ambaye amekuwa akishinikizwa kuchapisha malipo yake ya kodi,...
Upinzani wasusia serikali ya umoja Gabon
Upinzani nchini Gabon umefuata ahadi yake ya kususia serikali ya umoja iliopendekezwa na rais Ali Bongo. Kutokana na hatua hiyo baraza hilo...
Trump ashutumiwa kwa 'kuwabagua wanawake'
Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha Republican Donald Trump ameshtumiwa na wagombea pamoja na wafanyikazi wa kipindi cha The Appren...
Katumbi asema atarejea DR Congo kuwania urais
Mwanasiasa aliyetangaza nia ya kuwania urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi, ambaye amekuwa akiishi uhamishoni, amese...
Wananchi Colombia wapinga makubaliano ya amani yaliofanyika
Wapiga kura nchini Colombia wamepinga katika kura ya maoni makubaliano ya kihistoria yaliyofikiwa baina ya serikali ya nchi hiyo na kundi la...
Tume: Uchaguzi DR Congo utafanyika 2018
Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinasema kuwa tume huru ya Uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu sasa utaan...
huko Somalia chaguzi wa wabunge waahirishwa
Mchakato wa kuchagua bunge jipya nchini Somalia umeahirishwa. Takriban wajumbe 14,000 walistahili kuchagua bunge la juu na la chini mwisho...
Lipumba kufikishwa mbele ya baraza la CUF
KAMATI ya Utendaji ya Taifa ya Chama cha Wananchi (Cuf), imeandaa ajenda ya kumfikisha Profesa Ibrahim Lipumba mbele ya Baraza Kuu la Uongo...