-->

Windows keyboard shortcuts By BONAVENTURE

Use shortcut keys as an alternative to the mouse when working in Windows. You can open, close, and navigate the Start menu, desktop, menus, ...

Chombo cha anga za juu cha Ulaya kutua Mars

Chombo cha anga za juu cha Ulaya Schiaparelli kimefanikiwa kujitenga na "chombo mama" angani na kwa sasa kinaelekea kwenye sayari ...

Wanasayansi kuunda taifa jipya anga za juu

Kundi la wanasayansi mjini Vienna, Austria wameanzisha mpango wa kuunda taifa la ...

Facebook yazindua mtandao wa kutumika kazini

Facebook imenzisha mfumo mpya wa mtandao unaojulikana kama Workplace, ambao utaziwezesha kampuni kubuni njia ya kufanya mawasiliano. Mtand...

Samsung yasema haitaunda tena Galaxy Note 7

Samsung imetangaza kwamba haitaunda tena simu aina ya Galaxy Note 7 baada ya kutokea kwa ripoti kwamba simu ambazo kampuni hiyo iliamini zi...

Samsung ''yasitisha utengezaji wa Galaxy Note 7''

Kampuni kubwa ya kutengeza simu aina ya smartphone Samsung,imeroptiwa kusitisha utengezaji wa simu aina ya Galaxy Note 7 kufuatia madai kwa...

China: 'Ukinunua iPhone 7 umejifuta kazi!'

Kampuni kadha nchini Uchina zimetoa onyo kali kwa wafanyakazi wake na kuwataka wasinunue simu mpya ya kampuni ya Apple, iPhone 7. Kampuni z...

Habari tano za teknolojia ambazo hazifai kukupita

eknolojia hubadilika mara kwa mara na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa na mitindo pia kubadilika. Hapa, kuna makala tano kuhusu t...