-->

Kim Kardashian West ashtaki kwa kudaiwa 'kuigiza wizi'

Nyota wa ugizaji wa televisheni wa maisha ya uhalisia Kim Kardashian West ameshtaki tovuti moja ya udaku kuhusu wasanii kwa kudai kwamba al...

Merkel azindua jumba la Nyerere Addis Ababa

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amezindua jumba jipya makao makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la rais mwanzilishi wa taifa l...

Washia wauwawa mjini Kabul

Shambulio limetokea eneo maalumu la ibada la waumini wa dhehebu la shia katika mji wa Kabul huko Afghan. Watu 14 wamekufa na wengine 26 wa...

Urusi yaendeleza mashambulizi ya ndege Aleppo

Ndege za mashambulizi za Urusi zimetekeleza shambulio kubwa katika maeneo yaliyoshikiliwa na waasi mjini Aleppo. Takribani watu 12 wameuaw...

DR Congo imo kwenye 'hatari kubwa', UN yaonywa

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na hatari kubwa ya kutumbukia kwenye machafuko, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetahad...

China yashinda tuzo la kutambua mvinyo duniani

Kundi moja la wataalam nchini China limeshinda tuzo la shindano la kuonja mvinyo nchini Ufaransa. Watalaam hao walitambua mivinyo waliopew...

Wazazi wachunguzwa kwa kifo cha msichana aliyefunga siku 68

Polisi India wanachunguza wazazi wa msichana mwenye umri wa miaka 13 aliyefariki wiki iliyopita baada ya kufunga kwa siku 68 kama ibada. P...

Watu 17 wauawa Myanmar

Vikosi vya usalama nchini Myanmar vimesema kuwa watu 17 wameuawa wakiwemo polisi tisa, mauaji hayo yametokea katika kituo cha polisi huko k...

Rais Santos wa Colombia kutoa pesa kuwasaidia waathirika

Rais wa colombia Juan Manuel Santos amesema kuwa atatoa pesa kutoka katika tuzo yake ya amani ya Nobel ili kuwasaidia waathirika wa mgogoro...

Kenya yalaumiwa kwa kukiuka sheria za wakimbizi

Kenya inakiuka sheria za kimataifa kwa kuwalazimisha wakimbizi kwenye kubwa zaidi duniani kurudi nchini Somalia ifikapo mwezi Novemba, kwa ...

Merkel aahidi kuisaidia Mali kupambana na ugaidi

Akifanya ziara yake ya kwanza nchini Mali, Chansela wa Ujerumani Angela Merkel, ameahidi kuisaidia nchi hiyo kupambana na Ugaidi akisema ku...

Mshukiwa wa ugaidi Al-Bakr azuiwa na polisi Ujerumani

Baada ya kusakwa kwa siku mbili, Polisi Ujerumani imemkamata raia wa Syria anayeaminika kupanga shambulio la kijihadi. Jaber al-Bakr, aliy...

Utafiti: Wanawake wengi 2016 wanafurahia kuwa wanawake

Karibu wanawake 9 kati ya 10 wanaridhia kuwa mwanamke kuliko mwanamume leo, ikilinganishwa na nusu ya idadi ya leo katika miaka ya 1940, ut...

Watu 10 wauawa mashariki mwa DRC

Takriban watu 10 wanaripotiwa kuuawa Jumapili usiku wakati wa makabiliano kati ya wanajeshi na waasi, wanaoaminiwa kutoka nchini Uganda ene...

Blaise Compaore aonekana hadharani mara ya kwanza

Aliyekuwa rais wa Burkina Faso aliyepinduliwa mwezi Oktoba mwaka 2014 Blaise Compaore, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu alazim...