-->

Panya buku kutumika kupima kifua kikuu Tanzania

Tanzania imezindua maabara kubwa ya aina yake mjini Dar-Es-Salaam inayopima ugonjwa wa kifua kikuu (TB) kwa kutumia panya buku. Kwa mujibu...

Binti mdogo wa miaka 23 ndio mkuu wa shirika la kupambanana na ufisadi Ukraine

Wakili mwenye umri wa miaka 23 amepewa jukumu la kuongoza shirika la Ukraine linaloshugulikia maswala ya ulaji wa rushwa. Huu ni uteuzi wa ...

Mji wa kale wa zaidi ya miaka 5,000 wagunduliwa Misri

. Wanaajiolojia nchini Misri wamegundua kile wanachosema ni mabaki ya mji ambao ulikuwepo zaidi ya miaka 5,000 iliyopita. Wamepata nyumba, v...

Donald Trump kulipwa $1 kila mwaka

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema hataki kulipwa mshahara wa rais wa $400,000 atakapochukua hatamu Januari mwakani. Badala yake a...

Mataifa yenye wanafunzi werevu zaidi duniani

Katika kutathmini viwango vya elimu duniani, wengi wamekuwa wakiangazia sana ubora wa vyuo. Lakini kwa juml...

Mwanamfalme aliyekiri kuua akatwa shingo Saudi Arabia

Mwanamfalme mmoja nchini Saudi Arabia ameuawa kutokana na makosa ya kumuua mwanamume baada ya mzozo miaka mitatu iliyopita mjini Riyadh, wiz...

Kenya yampata jaji mkuu mpya, David Maraga

Jaji David Maraga ameapishwa kuwa Jaji Mkuu mpya wa Kenya baada ya kustaafu kwa jaji mkuu wa awali Dkt Willy Mutunga. Jaji Maraga atakuwa j...

ICC yamkuta Bemba na hatia ya kuwahonga mashahidi

Aliyekuwa makamu wa rais Congo, Jean-Pierre Bemba amepatikana na hatia katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC ya kuwahonga mashahidi. ...

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO FIRST BATCH

                                                                                                       BONYEZA HAPA KUONA MAJINA

MISRI YASHUTUMIWA KUCHOCHEA MACHAFUKO ETHIOPIA

Ethiopia imeituhumu serikali ya Misri kuwa ndiyo inayochochea machafuko nchini humo. Getachew Reda, Waziri wa Habari na Msemaji wa Serikal...

MAGUFULI ATAKA DIPLOMASIA IKUZE VIWANDA

RAIS John Magufuli, ametaka utekelezaji wa diplomasia ya uchumi utiliwe mkazo katika uwekezaji kwenye sekta ya viwanda. Aliyasema hayo Ikul...

POLISI DAR WANASA MTANDAO WA SCORPION

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imefanya operesheni katika maeneo ya katikati na pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam na kuwakamata wa...

SHEIN KUHUTUBIA BUNGE LA EAC KESHO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein leo anatazamiwa kulihutubia Bunge la Afrika ya Mashariki ambapo ...

Save the Children: Msichana wa chini ya miaka 15 huozwa 'kila sekunde saba'

Ripoti mpya ya shirika la Save the Children inasema msichana wa chini ya miaka 15 huozwa kila baada ya sekunde saba duniani. Ripoti hiyo i...

Nyoka 'watoroka' katika shamba China

Maafisa mashariki mwa China wanawasaka zaidi ya nyoka 50 aina ya swila (cobra kwa Kiingereza) waliotoweka kutoka shamba la nyoka linaloende...