-->

Waziri wa Kenya ''kuwania uenyekiti wa tume ya AU''

Kenya imewasilisha jina la waziri wake wa maswala ya kigeni Amina Mohamed kuwania wadhfa wa uenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika AU. Mwenyekiti wa sasa Nkosazana Dlamini Zuma ambaye alitarajiwa kujiuzulu mnamo mwezi Julai wakati wa kikao cha umoja huo mjini Kigali Rwanda,aliamua kusalia uongozini hadi kikao chengine baada ya wagombea watatu waliokuwa wakigombea wadhfa huo kushindwa kupata thuluthi mbili za wingi wa kura.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments