-->

Mji wa Aleppo washambuliwa tena

Mashambulizi ya angani yanayoendelea katika mji unaoshikiliwa na waasi wa Allepo nchini Syria, yamegonga hospitali. Kundi la Syrian American Medical Society, linalofadhili hospitali hiyo linasema kwamba hospitali hiyo ilishambuliwa kwa makombora mawili. Hospitali hiyo pia ilishambuliwa mapema wiki jana. Ripoti zinaibuka kwamba vikosi vinavyoungwa mkono na Urusi pamoja na vikosi vya Syria vinashambulia mji wa kale wa Allepo, na kukabiliana na waasi katika mitaa mbalimbali.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments