-->

Kenya inajenga reli nyingine ya 'wenye kichaa'?

Maelfu ya watu waliokuwa wakitumiwa kujenga reli Kenya zaidi ya miaka 100 iliyopita walifariki wakijenga reli hiyo iliyobandikwa jina 'reli ya wenye kichaa'. Baadhi waliliwa na simba maeneo ya Tsavo. Je, inawezekana kwamba Kenya inajenga reli nyingine ya 'wenye kichaa' isiyoelekea popote? Mwandishi wa BBC Alastair Leithhead anadadisi. Kwenye Makumbusho ya Reli Nairobi, kuna kabati lenye kucha tatu za simba wawili ambao walihangaisha wajenzi. "Waliua watu 100, lakini jumla ya waliofariki kutokana na maradhi na sababu nyingine ni 4,000. Hii ina maana kwamba kwa kila maili, watu wanne walifariki," anasema mhudumu katika makumbusho hayo, Elias Randiga.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments