-->

Mtu anayemtuhumu rais wa PHILIPPINES ajitokeza tena kutoa ushahidi bungeni

Mtu ambaye amekuwa akitoa ushahidi wa vitendo vya mauaji dhidi ya rais wa PHILIPPINES, RODRIGO DURTETE, kwa mara nyingine amewasili katika bunge la nchi hiyo kutoa ushahidi wake ambao umekuwa ukiwashangaza watu wengi. Mtu huyo ambaye aliwahi kuwa kamanda wa jeshi la PHILIPPINES anayejiita HIT MAN, na ambaye jila lake halisi ni EDGA MATABATO, amesema kuwa jeshi la polisi ndio mara kadhaa lilikuwa likiamuru, kuuawa kwa raia, amri ambayo ilikuwa ikitoka kwa rais DURTETE, alipokuwa meya wa mji mmoja nchini humo. Awali rais DURTETE, alikanusha kuhusika na tuhuma hizo na kusema kuwa hazipaswi kuaminikiwa kwani zinaotolewa na mwendawazimu.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments