-->

Boti ya zama na kuua watu 29 katika pwani ya Misri

Takribani watu 29 wamekufa maji baada ya boti ya wahamiaji kuzama karibu na pwani ya MISRI. Kwa mujibu wa maafisa nchini MISRI, Boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 600, ambao kati yao 150 wameokolewa ,kulingana na chombo cha habari cha taifa hilo. Maafisa hao wamesema kuwa tukio hilo limetokea karibu na pwani ya KAFR AL-SHEIKH. Tukio hilo limetokea wakati ambapo muungano wa Ulaya umeonya wahamiaji wanaolekea Ulaya wanatumia Misri kama mwanzo wa safari yao.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments