-->

Simba walivyobadili matokeo dhidi ya Yanga dakika 4 kabla ya mechi kuisha

Huu ni mchezo ambao mashabiki wa Yanga walikuwa na matumaini ya kuwa wataendeleza ubabe wao wa kuifunga Simba kwa mechi zote mbili kama walivyofanya msimu uliopita, huku mashabiki wa Simba waliingia uwanjani wakiwa na matumaini ya kuondoa uteja ambao tayari ulianza kuwazoea kutokana na msimu uliopita kufungwa goli 2-0 katika michezo yote miwili.Katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, ulianza kuleta mvutano dakika ya 29 ikiwa dakika 2 tu zimepita toka Amissi Tambwe aipatie goli la uongozi Yanga, goli ambalo nahodha wa Simba Jonas Mkude hakuridhika nalo na kuanza kumzonga muamuzi na kuoneshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja.Kipindi cha pili kilionekana kuwa kigumu kwa timu zote kutofungana, kwani Simba licha ya kuwa pungufu walifanikiwa kusawazisha goli dakika ya 86 kupitia kwa Shiza Ramadhani Kichuya aliyepiga kona iliyoingia wavuni moja kwa moja na kuufanya mchezo umalizike kwa sare ya goli 1-1 GOALS: TP Mazembe vs Yanga August 23 2016, Full Time Related Items comments ← Previous Story Maneno ya Vodacom kuelekea mchezo wa Yanga na Simba October 1 2016 Soma na hizi 001-ligi Maneno ya Vodacom kuelekea mchezo wa Yanga na Simba October 1 2016 850x520-jpg_1475183081 Ushindi wa Genk ya Samatta uliowafanya waongoze Kundi F Europa League img-20160929-wa0026 PICHA: Vibonzo sita vya utani wa Simba na Yanga kabla ya mechi yao ya October 1 Tupia Comments

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments