-->

Katumbi asema atarejea DR Congo kuwania urais

Mwanasiasa aliyetangaza nia ya kuwania urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi, ambaye amekuwa akiishi uhamishoni, amese...

Wananchi Colombia wapinga makubaliano ya amani yaliofanyika

Wapiga kura nchini Colombia wamepinga katika kura ya maoni makubaliano ya kihistoria yaliyofikiwa baina ya serikali ya nchi hiyo na kundi la...

Tume: Uchaguzi DR Congo utafanyika 2018

Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinasema kuwa tume huru ya Uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu sasa utaan...

huko Somalia chaguzi wa wabunge waahirishwa

Mchakato wa kuchagua bunge jipya nchini Somalia umeahirishwa. Takriban wajumbe 14,000 walistahili kuchagua bunge la juu na la chini mwisho...

Lipumba kufikishwa mbele ya baraza la CUF

KAMATI ya Utendaji ya Taifa ya Chama cha Wananchi (Cuf), imeandaa ajenda ya kumfikisha Profesa Ibrahim Lipumba mbele ya Baraza Kuu la Uongo...

Machar ataka serikali ya Sudan Kusini ipigwe vita

Kiongozi wa kundi la waasi la Sudan kusini , Riek Machar, ametoa wito kuwe na vuguvugu la kivita la kuipinga serikali la nchi hiyo. Awali...