-->

Steven Gerrard astaafu katika soka

Aliyekuwa nahodha wa Liverpool na timu ya Uingereza Steven Gerrard amestaafu na kukamilisha miaka 19 ya kucheza soka. Gerrard mwenye umri ...

Gareth Bale kukosa mechi ya El Classico

Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale atafanyiwa upasuaji wa kifundo chake cha mguu Jumanne ijayo baada ya kuguchia katika mechi ya ushi...

Bondia aliyepigwa Knockout afariki

Bondia mmoja aliyepata jeraha la kichwa katika pigano lake la kwanza amefariki. Kuba Moczyk mwenye umri wa miaka 22 alipigwa knockout kati...

Samuel Eto'o akabiliwa na kifungo cha miaka 10 jela

Aliyekuwa nyota wa timu ya soka ya Cameroon Samuel Eto'o huenda akahudumia kifungo cha miaka 10 jela baada ya waendesha mashtaka kumhu...

Mwanamume afariki shindano la kula kwa kasi Japan

Mwanamume nchini Japan amefariki siku tatu baada yake kusongwa na wali wakati wa shindano la kula kwa kasi. Mwanamume huyo, ambaye jina la...

FA yapanga kumwadhibu Mourinho

Shirikisho la Soka England (FA) limemwandikia barua Meneja wa Manchester United Jose Mourinho likimtaka ajieleze kuhus...

Wenger: Nisingeweza kumuuza Walcott

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa hakuwahi kufikiria kwamba angemuuza mshambuliaji wa Uingereza Theo Walcot msimu ulio...

Leicester City yang'ara UEFA

Klabu ya soka ya Leicester City imeendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya ligi ya mabing...