-->

Dulla Mbabe kupigana na Mchina Dar

Bondia wa Tanzania Dulla Mbabe tarehe 28 Oktoba anatarajia kupambana na Bondia Chengbo Zheng kutoka Taifa la Chin...

SIMBA YAONYWA MBEYA

Timu ya soka ya Mbeya City imetoa onyo kwa Simba kuwa hawatatoka salama kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kesho, kwani wamejipanga kuif...

Coleen Rooney ashutumu wanaomkosoa Wayne

Coleen Rooney, mke wa nahodha wa Manchester United na England Wayne Rooney, amewashutumu wanaomkosea mumewe akisema sasa wamezidi. Amewata...

Christian Benteke afunga bao la kasi zaidi mechi za Kombe la Dunia

Mshambuliaji wa Ubelgiji Christian Benteke alifunga bao la kasi zaidi katika mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia, baada ya kufunga bao sekun...

Tyson Fury: WBO kutwaa mkanda wa ubingwa wa dunia

Bingwa wa uzani wa juu wa ndondi duniani, Mwingereza Tyson Fury amepewa siku 10 na WBO kueleza ni kwa nini hafai kupokonywa mkanda wake wa ...

Steve Bruce kuwa kocha mpya wa Aston Villa

Klabu ya soka ya Aston Villa ya England inatarajiwa kumtangaza Steve Bruce kuwa meneja mpya wa timu hiyo leo jumatano baada ya kumtimu koch...

Dereva kutoka Finland, Tapio Laukannen, aibuka mshindi wa Eldoret Rally

Dereva kutoka Finland, Tapio Laukannen, ameibuka mshindi wa Eldoret Rally, ukiwa ndio mkondo wa sita wa mashindano ya kitaifa ya magari nch...

Iwobi na Iheanacho waifungia Nigeria

Nyota wa Nigeria wameingia katika mitandao ya kijamii kusherehekea ushindi wao wa kwanza katika harakati za kufuzu katika kombe la dunia la...