-->

Watu wenye silaha washambulia Mandera, Kenya

Watu kadha wanahofiwa kufariki baada ya watu wenye silaha kushambulia mtaa mmoja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya. Taarifa zina...

Tingatinga Lilivyofukua mamilioni yaliyokuwa Yamefichwa ardhini

Kama wewe unadhani huna fedha, basi kuna wengine ambao wamezichimbia ardhini, tena kwa mamilioni. Benki ya chini ya ardhi iliyosheheni mami...

Serikali ya Colombia na FARC kupitia tena vipengele vya makubaliano ya amani

Serikali ya Colombia imeanza tena mazungumzo na kundi la waasi la FARC ili kujaribu kutafuta njia ya kufikia muafaka wa makubaliano ya amani...

Duterte asema Obama anaweza 'kwenda jehanamu'

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amerejelea tena shutuma zake dhidi ya Rais Obama na viongozi wengine wa nchi za Magharibi wanaopinga mpang...

Kiongozi wa Muslim Brotherhood auawa Misri

Kiongozi wa juu wa kundi la Muslim Brotherhood ameuawa na vikosi vya wizara ya mambo ya ndani Misri, wizara hiyo inasema. Katika taarifa ya...

Haiti yapigwa na kimbunga Matthew

Kimbunga Matthew kinaelekea kupita katika visiwa vya Caribbean - utabiri unaonyesha kitapita kati kati mwa magharibi mwa Haiti, ambako ndio ...

Tanzania yasifiwa na Benki ya Dunia kwa kuhakikisha usawa

Tanzania imetajwa na Benki ya Dunia kuwa miongoni mwa mataifa machache duniani ambayo yamefanikiwa pakubwa kupunguza pengo kati ya matajiri ...

Wakamatwa Malaysia kwa kuvua nguo hadharani

Watalii 9 kutoka Australia wamekamatwa baada ya kuvuwa nguo hadharani na kusalia na chupi wakati wa mashindano ya magari ya Grand Prix yalio...

Mataifa tajiri 'yanapuuza' jukumu lao kwa wakimbizi - Amnesty

Amnesty International limeyashutumu mataifa tajiri duniani kwa kupuuza jukumu lao kwa wakimbizi likisema yanawahifadhi wakimbizi kidogo na k...

Tanzania kuchunguza saratani ya kizazi kwa simu

Watafiti kaskazini mwa Tanzania wametengeza programu ambayo wauguzi na madaktari wanaweza kuitumia kuchunguza saratani ya kizazi miongoni mw...

Ufaransa yatishia kuiwekea vikwazo DRC

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ,Joseph Kabila ni sharti aheshimu katiba na kujiuzulu mwishoni mwa muhula wake ,waziri wa maswala y...

Rais Kabila azuru nchini Tanzania

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC Joseph Kabila amewasili Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu. Amepokelewa na v...

Mzozo wa Syria: Marekani yasitisha mazungumzo na Urusi

Marekani imetangaza kusimamisha mazungumzo na Urusi kuhusu Syria. Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Marekani imesema Moscow haijafuata mash...

Colombia kujadili muafaka wa amani

Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos amekutana na kiongozi wa upinzani ili kujadili jinsi ya kupata njia mbadala ya kurejesha amani katika t...

Vikosi vya majini vyaokoa maelfu Italia

Vikosi vya majini nchini Italia vimesema zaidi ya wahamiaji elfu sita waliokuwa wakijaribu kuingia barani ulaya wameokolewa maji hapo jana. ...