-->

Trump ajigamba kuhusu ulipaji kodi nchini Marekani

Mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, ambaye amekuwa akishinikizwa kuchapisha malipo yake ya kodi, amejigamba akisema ametumia sheria ipasavyo kulipa ushuru wa chini zaidi kuambatana na sheria. Amewaambia wafuasi wake kuwa ni jukumu lake kama mfanyabiashara kutumia sheria za kodi kujinufaisha na wawekezaji na wafanyakazi wake. Donald Trump aliwaambia hayo wafuasi wake wakati akiwa katika jimbo la Pueblo lililopo Colorado na kudai kuwa lilikuwa jukumu lake yeye kama mfanyabiashara kutumia vipengele vya sheria za kodi ili aweze kunufaika nazo yeye mwenyewe, wawekezaji na wafanyakazi wake. Hivyo amesema anachukizwa sana jinsi anavyoona jinsi Marekani inavyotumia kodi.

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments