-->

VITA VYA SYRIA Usitishaji mapigano ungalipo - Moallem

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Mayadeen chenye makao yake jijini New York, Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Walid Moallem, amesema hivi leo (Septemba 26) kwamba makubaliano hayo ya kusitisha mapigano yaliyosimamiwa na Urusi na Marekani, na kuonekana kuvunjika wiki nzima sasa, bado yapo hai na serikali yake inayaheshimu. Kauli hiyo ya Moallem inakuja licha ya taarifa za mashambulizi makali ya wiki nzima ya ndege za serikali kwenye maeneo yanayoshikiliwa na waasi mjini Aleppo, ambapo hadi sasa watu 240 wameshauawa. Wafanyakazi wa huduma za uokozi waliripoti mashambulizi mapya asubuhi ya leo, wakiyaelezea kuwa ni mabaya na makubwa zaidi kuwahi kufanyika kwenye eneo hilo tangu vita kuanza mi

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments