-->

Sio Siri Tena: Harmonize na JackLine Wolper katika Mapenzi Mazito

Kuna fununu zilikuwa zinaendelea mtaani kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Harmonize na Muigizaji Jackline Wolper, Leo Diamond Platnumz katoa uthibitisho kuwa wawili hao wako kwenye penzi zito.



Katika Mtandao wa Instagram, Diamond Platnumz amepost Video (Ipo hapa chini) na kuandika "A throw Back of two love Birds🐦💞.... Mjini kutamu jamani... hebu nitagie Wakereketwa hapa, waje kuzirai....? 😜😝😛"....


Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments