-->

Diamond Platnumz na Ne-yo waonjesha collabo yao katika show ya JEMBEKA

Diamond Platnumz anaingia kwenye headlines nyingine baada ya jana kufanya show ya kukata na shoka katika JEMBEKA FESTIVAL iliyofanyika mjini Mwanza, ambapo yeye pamoja na NE-YO walitambulisha nyimbo yao mpya ambayo inasemekana inayoitwa I WILL MARY YOU.



Hapa nimekuwekea kipande kifupi cha wimbo huo ambao waliutumbuiza jana:

Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt.

Disqus Comments